Sunday, 16 March 2014

ANGALIA MAJINA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14



OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA 
MITAA (OWM - TAMISEMI)
AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA 
MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14. 
A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA 
YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA 
IFUATAVYO:- 
i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928 
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416 
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677 
Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za 
vyuo vyaualimu Tanzania Bara. 
B: Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:- 
1. Kuripoti 
tarehe01/04/2014kwenyeofisizaWakurugenziwaHalmashaurikwaajili

yakupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi. 

Tuesday, 11 March 2014

Monday, 10 March 2014

MWALIMU WA MAREHEMU DR.WILLIAM MGIMWA AMUOMBEA KURA MJUKUU WAKE GODFREY MGIMWA KALENGA

1Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akimkumbatia mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa kwenye eneo la Tosamaganga kata ya Kalenga mahali ambapo mkutano wa hadhara wa kampeni umefanyika leo ikiwa ni mfurulizo wa mikutano hiyo iliyofanyika katika vitongoji na vijiji vya kata ya Kalenga. Uchaguzi wa jimbo la Kalenga unatarajiwa kufanyika Machi 16 jumapili ijayo ambapo Mzee Philip Mangula amewaomba wananchi wa Kalenga kumchagua Godfrey Mgimwa wa CCM kwa kura nyingi za ndiyo.(PICHA NA KIKOZIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 1aSister Paula Msambwa miaka 75 ambaye pia ni muuguzi katika hospitali teule ya Tosamaganga na mwalimu wa Marehemu Dr.William Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo akitoa ushuhuda wake na kufurahia kumuona mjukuu wake Godfrey Mgimwa akigombea ubunge katika jimbo la Kalenga Sister Paula amekiri na kusema Marehemu Dr.William Mgimwa alipenda sana somo la hesabu na alikuwa ni mwanafunzi mwenye kipaji na nidhamu 2aSister Paula Msambwa miaka 75 ambaye pia ni muuguzi katika hospitali teule ya Tosamaganga akimuonyesha mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa na kusema nimefurahi sana kuona mjukuu wangu akigombea ubunge.

Friday, 7 March 2014

ANGALIA PICHA VURUGU BUNGENI JANA NA TAARIFA KAMILI KUHUSU MZOZO ULIOTOKEA

Sehemu ya Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba wakitawanyika mara baada ya mwenyekiti kuahirisha kikao kutokana na baadhi ya wajumbe kutoelewana katika hoja. 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ole Sendeka akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tuhuma za baadhi ya wajumbe kuwa Mwenyekiti anampendelea kwa kumpa nafasi nyingi za kuchangia hoja katika semina ya kanuni za bunge maalum.
Mjumbe wa Bunge la Katiba na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Mhe. Freeman Mbowe akiongea na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo,mara baada ya kuahirishwa kwa kikao.

GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA VIJIJI VYA MIBIKIMITALI,MFUKULEMBE NA KIBENA

1Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mibikimitali Kata ya Ifunda katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo ambapo amewaomba kumuamini na kumpa kura zote za ndiyo katika uchaguzi utaotarajiwa kufanyika jumapili machi 16 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE -KALENGA)2Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Mibikimitali leo vs4Wananchi wa kijiji cha Kibena katika jimbo la Kalenga wakimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichani wakati akihutubia mkutano huo.

Monday, 3 March 2014

HAPPYBIRTHDAY MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris Leo anasherekea siku yake ya Kuzaliwa.Tunamtakia Heri na baraka katika Maisha yake

KINANA AITEKA KIBAHA KIJIJNI, WANANCHI WAFURIKA KUMTEGEA MASIKIO YAO!!!

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibaha Kijijini kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani ambapo aliwaambia moja ya kazi kubwa ya viongozi wa CCM ni kutekeleza yale walioahidi kwa wananchi.
Mbunge wa Kibaha Kijijini Ndugu Hamoud A. Jumaa akihutubia wakazi wa Kibaha Kijijini na kuwaambia mafanikio waliyoyapata ikiwa pamoja na kufungua ofisi ya kisasa ya Mbunge kugawa pikipiki tisa na baiskeli themanini na sita kwa makatibu kata na mabalozi wa shina.
 Isha Mashauzi akitumbuiza wakazi wa Kibaha Kijijini  wakati wa mkutano wa hadhara ambao Katibu Mkuu wa CCM alikuwa mgeni wa Heshima.

Sunday, 2 March 2014

KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA:CCM YAZIDI KUJITENGENEZEA NJIA YA USHINDI

 Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa (32), akiwapungia wananchi huku akiwa amebebwa alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali,  Kata ya Ulanda, Iringa Vijijini leo mchana.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba akiongoza msafara wa mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa aliyebebwa walipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali.
 Mgimwa akiungana na wanakijiji kucheza ngoma ya asili ya kabila la Wahehe alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kibebe, Kata ya Ulanda mchana leo.

Thursday, 27 February 2014

VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR


Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi.


Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu.


Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akiwaongoza waomboleazaji mbali mbali kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam. 


Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu.Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.

PRESIDENT KIKWETE LAUNCH IMPROVING BUSINESS ENVIRONMENT LAB

D92A9942President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(Centre seated) in a group picture with senior government officials and members of the Private sector organizations shortly after he launched Improving Business Environment Lab at Kunduchi Beach Hotel in Dar es Salaam this evening. Others in the picture seated from left is the Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal, The CEO of the Presidential Delivery Bureau Mr.Omar Issa(second left), Malaysian Cabinet Minister and Expert in Development Affairs Prof. Idris Jala(Fourth left) and extreme right is the Chairman of Tanzania Private Sector Foundation Dr. Reginald Mengi.(photo by Freddy Maro)

NAPE AUNGURUMA SHINYANGA AWAZOA WAWILI KUTOKA CHADEMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini.
 Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na Furaha ya kuwakaribisha wanachama wapya ambao walikuwa madiwani kwa kupitia Chadema ambao tarehe 25 walijiuzuru na tarehe 26 Februari 2014 kujiunga na CCM.
 Zakaria Martin Mfuko aliyekuwa Diwani wa Chadema Kata ya Masekelo akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini kwenye viwanja vya Mahakama ya Mwanzo na kuwaambia wananchi hao ameamua kurudi CCM kutokana na ufisadi na ukiukwaji ya maadili ya Uongozi ndani ya Chadema.
Sebastian Peter maarufu kama Obama aliyekuwa Diwani wa Chadema kata ya Ingokole akihutubia wananchi kwenye viwanja vya Mahakama ya Mwanzo mjini Shinyanga.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsaidia kufunga vifungo vya shati Ndugu Sebastian Peter aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ingokole ambaye amerudisha Kadi yake ya Chadema na kupokelewa rasmi CCM kwenye viwanja vya Mahakama ya Mwanzo mjni Shinyanga.

Wednesday, 26 February 2014

UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA : CCM WAENDELEA NA KAMPENI

Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu akimnadi mgombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mdogo wa Kalenga, Godfrey Mgimwa

Mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa akiwasili katika kijiji cha Mgera hii leo
Akiwapokea baraka kutoka kwa wazee
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa, Delfina Mtavilalo akimnadi
Sehemu ya umati uliojitokeza Kiwele
Hapa ni nderekondereko, kijiji cha Mfyome
Kila aliyeshiriki mkutano wake alitaka kusalimiana naye
Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu akimnadi
Akishiriki kuonesha umahiri wa kucheza ngoma ya kihehe
Mpeni kura za Ndio
Akiwashukuru wapiga kura kwa kumsikiliza

Kisela, akisalimiana na kijana mwenzake

Mzee, nitatumia busara zenu katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hili

Usikuvu kila alipokwenda

Hapa ni Lundamatwe

Viongozi wa CCM walikuwepo pia kumpa company

Tutakuschagua, ndivyo walivyokuwa wakisema 

Ni baada ya kuelewa sera zake

Umeeleweka bwana,

Nawashukuruni sana
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...