MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO KUSINI,
INNOCENT KALOGERIS WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKISAIDIANA NA WANANCHI WA
KIJIJI CHA BWILAJUU KUSUKUMA GARI LAKE LILILOKWAMA KATIKA TOPE WAKATI
AKIELEKEA KATIKA VITONGO VYA KIJIJI HICHO VILIVYOKUMBWA NA MAFURIKO
KUFUATIA MVUA KUBWA KUNYESHA APRIL 5 NA KUSABABISHA HASARA IKIWEMO
MAKAZI YA WATU, MIFUGO NA MIMEA YA MAZAO KUHARIBIWA MOROGORO VIJIJINI
MKOANI HAPA.
No comments:
Post a Comment