Wednesday, 10 April 2013

Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dddoma.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpendae,  Salim Hassan Abdullah Turky kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 
 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 
 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia) Mbunge wa Kilindi Beatrice Shellukindo (Wa pili kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...