Pages
HOME
CCM MOROGORO
MOROGORO KUSINI
UTEKELEZAJI WA ILANI
WASILIANA NASI
PICHA
Thursday, 23 May 2013
NMB YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA TANGA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akipewa maelezo juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na benki ya NMB kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi la Madaraka, Juma Mpimbi alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akisalimiana na Ofisa wa benki ya NMB tawi la Madaraka, Elvis Shao alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga. Wakishuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Chiku Gallawa (pili kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Madaraka, Juma Mpimbi
Maofisa wa benki ya NMB Tawi la Madaraka wakiwa katika banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara yaliyozinduliwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment