Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akisalimiana na viongozi wa Tawi la CCM Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja
leo,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
kusini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Bwejuu Ameir Ali
Jaku,(wa pili kushoto) wakati alipotembelea Tawi hilo pia akiwa katika
uimarshaji wa chama cha mapinduzi katika Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
maalum wa kumkaribisha Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipotembelea katika Tawi la CCM la Kijiji hicho akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja jana.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
kaskazi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Tawi lao akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja jana. [Picha na
risala ya wanachama wa CCM Tawi la Bwejuu kaskazi,mbele ya Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipofanya ziara ya kutembelea
katika Tawi hilo leo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi mwanachama mpya wa CCM katika Tawi la CCM Bwejuu,Yussuf
Hassan,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
Kusini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

cha Mapinduzi baada ya kukabidhiwa kadi zao za Chama na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama
katika Wilaya ya Kusini Unguja jana. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Baadhi ya wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Bwejuu
kaskazi wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Tawi lao akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja jana. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na Wanachama na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa
Kusini Unguja katika mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya katika
Mkoa huo,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya
Makunduchi. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment