Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kikomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao na ujumbe wa chamnye hoteli ya Courtyard Jijini Dar es salaam ujumbe wa chama hicho uko hapa nchini kwa mazungumzo ya kuimarisha uhusiano wa siku nyingi kati ya vyama vya CCM na CPV kinachotawala nchini Vietnam, Kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC siasa na Uhusiano wa Kiamataofa CCM na kulia ni Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM.CHANZO FULL SHANGWE
Ujumbe wa vyama vya CCM na CPV Vietnam ukiwa katika mazungumzo kwenye hoteli ya Courtyard jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment