MAMA SALMA APOKEA TUZO YA MILENIUM DEVELOPMENT GOALS, WOMEN’S PROGRESS AWARD 2013
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya Millenium Development Goals, Women Progress Awards,2013, kutoka kwa Ms Jennie Yeung , Rais wa Shirika la Sun Zhong Shan Foundation lililo chini ya United Nations Education, Science, Cultural and Health Advancement Foundation la nchini Marekani. Mama Salma alipokea tuzo hiyo baada ya kutimiza baadhi ya malengo ya Millenia katika masuala ya ukimwi, elimu kwa watoto waliokosa fursa na kuwawezesha wanawake kiuchumi nchini Tanzania. Kulia ni Katibu wa WAMA, Ndugu Daud Nassib na kushoto ni Dr. Judy Kuriansky, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Columbia nchini Marekani.PICHA NA JOHN LUKUWI – MAELEZO
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana rasmi na Mwanzilishi na Rais wa Voices of African Mother’s Inc Mrs Nana- Fosu Randall, ambaye shirika lake ndilo lililotoa tuzo kwa wake wa Marais wa Afrika waliotimiza baadhi ya malengo ya millennia.
No comments:
Post a Comment