Pages
HOME
CCM MOROGORO
MOROGORO KUSINI
UTEKELEZAJI WA ILANI
WASILIANA NASI
PICHA
Tuesday, 18 June 2013
PINDA AMTEMBELEA NASARI NA NAMELOK HOSPITALINI ARUSHA
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari ambaye amelazwa katika hospitali ya Serian Arusha anakotibiwa kwa madai ya kushambuliwa na wananchi eneo la Makuyuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Viti Maalum,
Namelok Sokoinine
aliyelazwa kwenye hospitali ya Serian Arusha baada ya kuvunjika mguu akiwa nyumbani kwake. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment