Pages
HOME
CCM MOROGORO
MOROGORO KUSINI
UTEKELEZAJI WA ILANI
WASILIANA NASI
PICHA
Wednesday, 26 June 2013
WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIOA KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA
Mbunge wa Nkenge, Asumta Mshama (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo kwenye viwanja vay Buge Mjini Dodoma Juni 25,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Busega, Dr. Titus kamani, Bungeni Mjini Dodoma Juni 25,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma Juni 25,2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
MWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na madiwani kutoka jimbo la Chilolo mkoani Iringa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment