RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHA YA BIASHARA YA SABASABA
jRais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam.kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda.
Picha namba 8673 ni Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiangalia mafuta ya ubuyu na bidhaa zingine kwenye banda la Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF) kwenyeMaonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam .Kutoka (kushoto) wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Stephen Emmanuel.
No comments:
Post a Comment