Tuesday, 27 August 2013

HONGERA SANA SIXTUS MAPUNDA

Nampongeza Sana Aliyekuwa Katibu wangu Kaimu Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Sixtus mapunda Kwa Kuchaguliwa kwake kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana Taifa.Namtakia Kazi Njema Katika Jukumu lake Hilo Jipya.Ni Kijana safi Mchapa kazi sana.Hakika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Wamepata Mpiganaji hodari na makini sana.Kitetee chama cha mapinduzi popote ili kiendelee kuwa chama Imara zaidi kwa manufaa ya watanzania waliokiamini chama cha mapinduzi, chama makini kwa kukipa ridhaa ya kuwaongoza watanzania wote bila ubaguzi wowote.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...