Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Prof.Elisante Ole Gabriel Laizer ( kulia) leo katika hafla Ikulu Dar es Salaam,PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZORais Jakaya Kikwete (kushoto) akimuapisha Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari ,Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga (kulia) leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimpongeza na kumkabidhi zana za kufanyia kazi Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Rose Shellukindo (kulia)
Picha ya pamoja ya Waziri wa Hbari , Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt, Fenella Mukangara (wapili kulia mstari wa mbele) Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla(kulia mstari wa mbele), Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo, Sihaba Nkinga(mwenye mauawa) ,Naibu Katibu Mkuu mpya Prof. Elisante Ole Gabriel Laizer (wa kwanza kashoto mwenye miwani) pamoja na baadhi ya wakurugenzi wasaidizi katika wizara hiyo na baadhi ya watendaji, wakuu wa wizara,Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya JWTZ, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) wakati wa sherehe za kuwaapisha Makatibu wakuu wapya pamoja na Manaibu Katibu wakuu waWizara mbalimbali leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange.(kulia).Picha ya pamoja akiwepo na Rais Jakaya Kikwete ( wa sita kutoka kulia mstari wa mbele) akifuatiwa na Makamu wa RaisDkt. Muhamaed Gharib Bilal.pamoja na Makatibu Wakuu wapya na Manaibu wake,
No comments:
Post a Comment