Saturday, 3 August 2013

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Vietnam aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe Nguyen Duy Thien baada ya kuagana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo.
kulu jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...