Tuesday, 20 August 2013

RAIS KIKWETE AMFARIJI MZEE PHILIP MANGULA KWA KUFIWA NA BINTI YAKE

ne2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Profesa Mark Mwandosya alipoenda kumfariji  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013ne3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo alipoenda kumfariji  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20ne4Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Mama Mangula alipoenda kuifariji familia ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula  kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Anne Makinda. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20ne7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na familia yake kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Anayefuata ni Profesa Mark Mwandosya, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na Bw. Ali Kikwete  Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20ne8

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...