Tuesday, 13 August 2013

RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI LEO

H3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwa Balozi Mteule wa Uholanzi  hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013PICHA NA IKULU
H1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013
H2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...