RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUUA VIDUDU VINAVYOSABABISHA MALARIA KIBAHA MKOANI PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.(Picha zote na Eleuteri Mangi-Maelezo)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akitoa hotuba wakati wa kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (wa kwnza kulia) akiteta jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (katikati) na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi (wa kwanza kushoto) wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani.Balozi wa Cuba nchini Jorge Luis Lopez Tarmo (wa kwanza kulia) akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete zawadi ya picha ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Fidel Castro wakati hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kuzalisha dawa za kuulia viluwiluwi vya mbu wa malaria leo kilichopo nje kidogo ya mji wa Kibaha mkoani Pwani. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa LABIOFAM Dkt. Jose Frag Castro akifuatiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda.
No comments:
Post a Comment