WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AWASILI ARUSHA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji wa Mahakama ya Afrika, Mheshimiwa Jaji Sophia Kuffo (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Stanslaus Mulongo baada ya kuwasili k wenye uwanja wa ndege wa Arusha, Novemba 17 kwa ajili ya kufungua mkutano wa Mjaji wa Afrika mjini Arusha Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment