Sunday, 24 March 2013

MWENYEKITI WA CCM AMZIKA KOCHA BERINI


 Mwenyekiti kiti wa CCM mkoa wa Morogoro ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini lnnocent Karogerezi[Wakwanza kushoto akijianda kwenda kuzi maeneo ya Kibwa juu ya Milima ya Uluguru.kwenye shati la draft anaye cheka ni diwani wa Kaya ya Mji Mpya Wencelaus Karogerezi ambaye ni kaka wa damu wa Innocent. 


Mtandao huu ulimnasa mwenyekiti wa CCM  mkoa wa Morogoro Innocent Karogerezi[Wakwanza kushoto] akiteta jambo kwa vicheko na wachezaji wa zamani kwenye msiba huo walioshikana mikono  kulini ni mchezji wa zamani wa  Tumbaku na Reli ya Morogoro na 'Taifa Stars' John Simkoo na Husein Ngurungu mchezaji wa zamani wa Tumbaku ya Morogoro na Pan Afrika ya Dar es salaama ambaye aliweka rekodi  ya kuchea timu ya taifa kwa miaka 12 mfurulizo kwa sasa ni Ngurungu ni dereva wa magari makubwa,anayeangalia kamera ni katibu mkuu wa chma cha soko mkoa wa Morogoro'MRFA' Hamisi Semka

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...