Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka ( mwenye Kaunda suti nyeusi) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ( Moro Vijijini) Kibena Kingo, ( mwenye kujitanda ushungi kichwani), baada ya kutoka nje ya ukumbi wakati wa kikao cha 29 cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Morogoro kilichofanyika Novemba 29, mwaka huu.
Mbunge wa Jimbo la Kilosa, Mustafa Mkullo, pamoja na wajumbe wazake kutoka nje ya ukumbi wa Gronecy Mjini hapa , baada ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( hayupo pichani) kufungua kikao cha 29 cha Bodi ya Barabara Mkoa, mwingine anayefuatia ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Dk Lucy Nkya.
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka ( mwenye Kaunda suti nyeusi) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ( Moro Vijijini) Kibena Kingo, ( mwenye kujitanda ushungi kichwani), baada ya kutoka nje ya ukumbi wakati wa kikao cha 29 cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Morogoro kilichofanyika Novemba 29, mwaka huu.Picha zote na John Nditi.
No comments:
Post a Comment