LEO NI KUMBUKUMBU YA MAREHEMU EDWARD MORINGE SOKOINE ALIYEFARIKI KWA AJALI YA GARI 12/04/1984 LEO ANATIMIZA MIAKA 29
Ndugu
Edward Moringe Sokoine (01/08/1938-12/04/1984) alikuwa Waziri Mkuu wa
aina yake nchini Tanzania. Aliongoza katika kipindi ambacho nchi ilikuwa
katika hali ngumu sana ya kiuchumi. Leo ni miaka 29 toka Taifa
limpoteze shujaa huyu. Katika kuenzi fikra zake ambazo bado zinahitajika
sana leo,
No comments:
Post a Comment