Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki akizungumza na Linda
Ruan, Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya World Travel Online ya China
katika Maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing China.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Utalii ya MIGADA Bw. Mike Ngoty (kushoto) akiwa na
mkalimani wake katika banda la Tanzania akiuza utalii katika maonyesho
ya COTMM 2013 jijini Beijing China.
Wadau
mbalimbali wakiwa katika banda la Tanzania wakitangaza utalii wa
Tanzania katika maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing China.
Wadau
wanaomiliki kampuni za utalii nchini kutoka kulia Elia Richard wa Into
Africa; Shabbir Khan wa Predator Safaris na Suleiman Said wa Langilangi
katika banda la Tanzania kwenye Maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing
China. (Picha zote na mdau Pascal Shelutete, TANAPA).
No comments:
Post a Comment