Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris wa pili kushoto akiongozana na wananchi wa kitongoji cha matunya kilichopo kijiji cha dutumi morogoro vijijini ambao wamekumbwa na mafuriko mwishoni mwa wiki.Mafuriko hayo yamewaacha watu bila makazi na chakula,
No comments:
Post a Comment