Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa hotuba nzuri
katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa
ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma
chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013
katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes aliyemponegza kwa
hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko
wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakimponegza kwa ishsra hiyo ya
uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza
umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia
MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani
Dodoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde
Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt
wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde
Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali katika
sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya
kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani
kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa
mkoani Dodoma
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati
na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya
ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika
kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment