Saturday, 3 August 2013

MBUNGE WA MOROGORO KUSINI AKIHAMASISHA WANANCHI KATIKA SHUGULI ZA MAENDELEO

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akifyatua matofali jana katika kata ya Kisemo Morogoro vijijini ikiwa ni siku aliyojipangia na wananchi wa jimbo hilo na yeye kama mbunge wao kuhamasishana kujitolea katika shuguli za maendeleo.
Mbunge huyo akionyesha mfano Namna ya kufyatua matifali.
Kata ya kisemo Morogoro vijijini inayoundwa na vijiji vitano navyo ni Nige ,Dabwala.Nige Mashariki,Nige Magharibi Nige Mteremko wamejipanga kufyatua tofali laki moja kwa ajili ya ujenzi wa shule na zahanati
   





No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...