Saturday, 3 August 2013

WAZIRI KOMBANI ATEMBELEA MAONYESHO YA NANE NANE MOROGORO


Waziri wa Ofisi ya Rais Menejmenti ya utumishi wa Umma na Mbunge wa jimbo la Ulanga  Mh Celina Kombani Akipokelewa katika moja ya banda la maonyesho ya nanenane mkoani morogoro.Waziri huyo leo ametembelea mabanda tofauti kujionea shuguli za wakulima katika mabanda tofauti mjini morogoro leo

 Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi akiwa ameambatana na waziri katika maonyesho hayo leo mjini morogoro





Na audifacejackson.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...