Mkuu wa wilaya ya bagamoyo Mh Ahmed Kipozi kulia akiwa na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana wakijadiliana jambo wakiwa kwenye viwanja vya maonyesho vya mwalimu nyerere mkoani Morogoro walipotembelea maonyesho hayo leo ambayo kanda ya Mashariki yanafanyika Morogoro
Wakuu wa wilaya ya kinondoni na bagamoyo walipotembelea maonyesho hayo leo mjini Morogoro
Afisa wa mfumo wa jamii wa Nssf Mama Mheta akimweleza jambo kuhusu shuguli za shirika hilo kwenye banda la Nssf kwenye maonyesho ya wakulima yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerer Mkoano Morogoro.
Na Audifacejackson.Blogspot.com
No comments:
Post a Comment