Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib
Bilali akifungua rasmi Mkutano wa Pamoja wa Kimataifa wa Watafiti Wanasayasi
Afrika ulioandalia na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu
(NIMR) kwa kushirikiana na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini
mwa Afrika (SACIDS) ya Afrika Kusini. Kushotoni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk.
Mwele Malecela. Mkutano huo wa siku nne unafanyika Jijini Arusha.

Makamu wa Rais Dk. Mohamed
Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na Washindi wa Tuzo za mwaka 2012 za
Masuala ya Afya, Prof. Ester Mwaikambo (kushoto) na Dk Martha Lemnge mara baada ya kuwakabidhi
tuzo zao hii leo.

tuzo zao hii leo. Kulia ni Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu TanzaniaNIMR), Dk. Mwele Malecela akisoma hotuba yake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Kuambukiza Kusini mwa Afrika
(SACIDS), Mark Rweyemamu akisoma risala yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo Jijini Arusha.

Viongozi wa NIMR na Watafiti mbalimbali wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa SACIDS.
Mkurugenzi wa OHCEA, Japhet Kilewo akitoa hotuba yake.
Meza kuu ikifuatilia kwa ukaribu Hotuba ya Mkurugenzi wa OHCEA.
Mwakilishi kutoka Umoja wa Afrika (AU)Dk. Ahmed Hamdy akizungumza na Wanasayansi watafiti.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid nae alisoma
Hotuba ya Wizara na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mkutano huo.
No comments:
Post a Comment