Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama onyesho la uokoaji kutoka mwokoaji wa
mgodi wa North Mara Gold Mine katika maonyesho ya kuadhimisha Siku ya
Afya na Usalama Duniani yaliyofanyiaka kwenye uwanaj wa Shikh Amri Abeid
jijini Arisha, Aprili 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoanji katika banda la
maonyesho ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye
uwanaja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 28,2013. (Picha na
Ofisi yaWaziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment