Marais
Wa jumuiya ya Afrika Mashariki waliohudhuria Mkutano wa Wakuu wa
jumuiya hiyo katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha leo.Kutoka kushoto
ni Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi,Mwenyekiti wa jumuiya hiyo Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Mwenyeji wa mkutano Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete na Rais Mpya wa Kenya,Uhuru Kenyatta(picha na Freddy
Maro)

No comments:
Post a Comment