Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya
kuwasili Ofisi Kuu ya CCM mkoa wa Morogoro, leo Aprili 14, 2013. Kinana
amewasili Morogoro kwa akili ya kukagua uhai wa Chama na kukagua
utekelezaji wa ilani ya Chama. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye.(Picha na Bashir Nkoromo).


Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijaribu moja ya pikipiki,
kabla ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuondoka eneo
la Nane Nane kwenda Morogoro mjini kuanza ziara ya kikazi mkoani humo
Aprili 14, 2013.
No comments:
Post a Comment