Wednesday, 29 May 2013

CCM YAFUNIKA MKUTANO WA LUDEWA,NJOMBE

untitled23 4244b
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, Kinana ambaye yupo katika ziara ya siku saba, kukagua utekelezaji wa ilani ya chama na kuzungumza na wananchi mkoani Njombe, amefuatana na Katiobu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
untitled24 67317

Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika  katika Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoani Njombe. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...