Sunday, 19 May 2013

NDANI YA CCM HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE 2014 / 2015

 
 Mkt wa UVCCM Moro Mjini Salum Mkolwe akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia Vijana wa Kata ya Lukobe!
MKt wa UVCCM Moro Mjini Salum Mkolwe akimkabidhi Kadi ya UVCCM mmoja wa Makada wa Kata ya Lukobe, Vijana 97 walipewa Kadikamati ya Utekelezaji ya UVCCM Moro Mjini ikiwa na makada wapya wa UVCCM wa Kata ya Lukobe, Jumla ya Vijana 97 walipewa Kada!Mkt wa UVCCM Moro Mjini akiwa na Katibu wa UVCCM Moro Mjini katika Kata ya Lukobe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...