Thursday, 23 May 2013

NMB YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA TANGA

DSC_0437Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akipewa maelezo juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na benki ya NMB kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi la Madaraka,  Juma Mpimbi alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga.DSC_0435Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda akisalimiana na Ofisa wa benki ya NMB tawi la Madaraka, Elvis Shao alipotembelea banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara mkoani Tanga. Wakishuhudia ni  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Chiku Gallawa (pili kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Madaraka,  Juma Mpimbi
DSC_7007Maofisa wa benki ya NMB Tawi la Madaraka wakiwa katika banda la NMB wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya biashara yaliyozinduliwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Kigoda mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...