Waziri
wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka akifungua rasmi semina ya
waandishi wa habari iliyoandaliwa na SSRA na Mifuko ya Hifadhi ya jamii
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA BI Irene Isaka akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa
habari. endelea kupitia audifacejackson blog,Pembeni yake ni waziri wa
kazi na ajira Bi Gaudentia Kabaka pamoja na naibu waziri Dr Milton
Makongoro Mahanga
Mmoja wa waandishi wa habari akichangia mada katika semina ya waandishi wa habari
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi Irene Isaka akiwasilisha mada kuhusu sekta ya hifadhi ya jamii kwa waheshimiwa wabunge
Picha 6:
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF Bw Daud Msangi akiwasilisha mada juu ya mchango
wa GEPF katika kuendeleza sekta ya hifadhi ya jamii
Mhe Juma Nkamia Kondoa akishiriki katika mada.
Naibu
Spika Mh Job Ndugai akifungua rasmi semina maalum ya waheshimiwa
wabunge iliyoandaliwa na SSRA na Mifuko ya Hifadhi ya jamii mjini
Dodoma.
Mh. Anna Abdallah akiuliza swali juu ya shughuli za Mifuko ya Hifadhi ya jamii.
No comments:
Post a Comment