Wednesday, 1 May 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE ZIARANI MKOANI MBEYA KUONGOZA MEI MOSI

8E9U1593 
Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Mbeya wakisalimiana kwa Shauku na Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mjini Mbeya tayari kuongoza sherehe za Mei mosi zinazofanyika mkoani huko kesho(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...