Friday, 3 May 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASHIKADAU WA SMART PARTNESHIP LEO IKULU

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership leo Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
 
sp3 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washikadau toka katika mashirika binafsi na ya umma walioalikwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership leo Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...