Thursday, 23 May 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA DODOMA IRINGA SEHEMU YA MIGORI-FUFU ESCARPMENT

8E9U7058Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(Wanne kushoto),Waziri wa Fedha Mgimwa(kushoto),Mwakilishi wa Balozi wa Japan Bwana Kazuyoshi Matsunaga(Wapili kushoto),Mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Bi.Tonia Kandiero(Wapili kulia) pamoja na mbunge wa Isimani William Lukuvi wakikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa sehemu ya Migori-Fufu Escarpment na Migori Iringa leo mchana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...