Saturday, 4 May 2013

TASWIRA YA HAFLA YA PAMOJA YA WATUMISHI NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MOROGORO VIJIJINI YAFANA.

Mbunge wa Morogoro kusini, Innocent Kalogeris akizungumza  jambo katika hafla ya pamoja ya watumishi wa halmshauri ya Morogoro Vijijini na madiniwa wa halmashauri iliyofanyoka kwenye hoteli ya New Savoy mkoani Morogoro. kutoka kulia ni Eden Munishi aliyekuwa mkurugenzi wa halmsahauri na wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Morogoro Vijijini, Julisu Madiga na kushoto ni Mwenyekiti wa halamshauri ya Morogoro Vijijini Kibena Kingo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...