| Baadhi ya wanachama |
Hatimaye uchaguzi wa chama cha mapinduzi CCM tawi la chuo kikuu cha waislamu (MUM) ulifanyika hapo jana na kushuhudia nafasi ya uenyekiti wa tawi ikienda kwa Bw. Athumani Saidi kwa kumbwaga mpinzani wake Ndugu Ahmada Mwariko kwa kishindo kwa kujikusanyia jumla ya kura 93 dhidi ya zile 36 za Ahmada. Uchaguzi huo ambao ulifanyika ndani ya ukumbi wa Mambo club ulijumuisha nafasi mbalimbali katika tawi ikiwemo ile ya uenyekiti wa UVCCM tawi la chuo kikuu MUM ambapo Ndugu Faraji alishinda kwa kupata kura 36 kwa 26.
| Ndugu Athumani Saidi mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa tawi |
| Baadhu ya wagombea kabla ya uchaguzi |
| M/kiti mstaafu |
| Bw Faraji mshindi wa uenyekiti UVCCM |
No comments:
Post a Comment