Friday, 10 May 2013

ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR WILAYA YA MKOANI PEMBA

DSC_0019Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana
na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,alipowasilimkatika Skuliya
Sekondari ya Fidel Kastro,kupata taarifa ya Mkoa,wakati alipokuwa
katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Mkoani Pemba
leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
DSC_0026Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa wa
Kusini Pemba,wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,
alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa mikutano wa Skulimya
Fidel kastro Vitongoji Chakechake  Pemba,akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama katika  Mkoa wa Kusini  Pemba,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
DSC_0046Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na
Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,wakati alipokuwa katika ziara ya
kuimarisha Chama katika Wilaya ya Mkoani Pemba leo,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
DSC_0116Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akikata
utepe kulizindua Tawi la CCM Makombeni, akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama katika Wilaya ya Mkoani Pemba leo,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
DSC_0131Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akiteta jambo
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) wakati wa
mkutano na wananchi na wanachama wa CCM Tawi la CCM Makombeni, akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Mkoani Pemba leo
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
DSC_0160Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Iddi Thabit IT,akitoa burudani
ya wimbo maalum katika ziara ya  kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa
wa Kusini Pemba Leo,aliyoifanya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,katika uwanja wa Mpira Makombeni Pemba,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
DSC_0175Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo cha Utii wa Chama

baada ya kukabidhiwa kadi zao leo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,wakati wa mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi
katika Mkoa wa Kusini Pemba, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama
Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...