Tuesday, 7 May 2013

ZIARA YA MAKAMU WA CCM DK.SHEIN,WILAYA MICHEWENI

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wapili kushoto)akiangalia Ilani ya chama cha Mapinduzi wakati alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Michenzani leo akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0561Vijana Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi CCM Kijiji cha
Kwale Micheweni Pemba,wakiwa katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la
msingi Tawi la CCM Michenzani leo,lililowekwa na  Makamu Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwa katika ziara ya Kuimarisha
Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan

Othman,Ikulu.]
IMG_0568Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
CCM,Kwale Michenzani Wilaya ya Micheweni Pemba,wakimsikiliza Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza nao
katika mkutano akiwa  katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya
Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0608 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya Tawi la CCM Michenzani,kutoka kwa Mwenezi wa UWT jimbo la Micheweni Sofia Mohamed Mzirai,baada ya kuliweka jiwe la msingi tawi hilo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea kadi za Wanachama Sitini (60)waliokihama chama cha CUF kutoka Tawi la Maziwa Ngombe,na kuingia CCM,kutoka kwa Faki Hamadi Juma,katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Michenzani Kwale Micheweni Pemba,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0668 
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wakila kiapo cha utii kwa chama baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0669 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na Viongozi wengine wakila kiapo cha utii kwa Chama wakati wa kuwaapisha wanachama wapya wa CCM katika Tawi la CCM Michenzani leo,katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0672Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM Kwale Tawi la Michenzani
Pemba,baada ya kuwababidhi kadi za Chama wanachama wapya waliojiunga
na CCM Mia Mbili Ishirini na Nne,(224)akiwa katika ziara ya kuimarisha
Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0697 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Kwale Tawi la Michenzani Pemba,baada ya kuwababidhi wanachama wapya waliojiunga na CCM Mia Mbili Ishirini na Nne,(224)akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_0581 
Mwanamuziki wa kizazi kipya Ibrahim Thabit (IT) akitoa burudani ya Wimbo wakati wa sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi Tawi la CCM Michenzani katika Kijiji cha Kwale,liliwekwa  na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...