Thursday, 2 May 2013

ZIARA YA MAKAMU WA CCM ZANZIBAR KASKAZINI UNGUJA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa Shada la mauwa na Chipukizi Ashura Salum Sheha,katika makaribisho wakati alipoanza ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]  IMG_0248Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia
mkono  Viongozi mbali mbali na wanachama lipowasili Ofisi ya CCM Mkoa
wa Kaskazini Unguja, akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha
Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini leo.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]
IMG_0255Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiteta
jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,katika Ofisi
ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa katika  ziara ya kuimarisha
chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini leo.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]
IMG_0284 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi maskani ya Dk.Salmin Amour Juma,huko Moga Vibanda kumi na mbili, akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_9913 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi maskani ya Dk.Salmin Amour Juma,huko Moga Vibanda kumi na mbili, akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_0317 
Katibu Mwenezi wa CCM Jimbo la Matemwe Mossi Mati Nadhari,akisoma risala wakaati wa uwekaji wa jiwe la Msingi uliowekkwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...