IMG_5094
Mkuu wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Mikataba katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Steven H. Issack alipotembelea banda la wizara ya fedha kutaka kupata ufafanuzi juu ya uanzishwaji wa mikopo kwa watumishi wa umma kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali,  kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Bi. Christine Ngonyani na kulia ni Bi. Miriam Mnzava Nchini Ghana.
IMG_5097
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana jinsi idara ya  Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia Watumishi wa Umma katika kupata Mikopo.
IMG_5127
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani alipotembelea Banda la Wizara ya fedha katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

IMG_5179
Washiriki kutoka Nchi mbalimbali walipotembelea katika makumbusho ya taifa ya Ghana.
IMG_5258
 Washiriki wa Maonesho ya Wiki ya Utumishiwa Umma kutoka Tanzania na nchi nyingine wakifurahia ushiriki katika maonesho hayo Nchini Ghana.
IMG_5307
 Mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha chini ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Miriam Mnzava alipotembelea banda la Zimbabwe wakati wa maonesho hayo.
IMG_5316
Msemaji wa Wizara ya Fedha akiwa ameambatana na washiriki wengine kutoka wizara ya fedha wakiwa kwenye banda la Zimbambwe wakibadilishana uzoefu juu ya utendaji kazi katika nyanja mbalimbali walipokuwa Nchini Ghana.
IMG_5339
Afisa Tawala Mwandamizi Bw. E. Ndofi kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Wizara ya Fedha, akitoa ufafanuzi kuhusu watumishi wa Idara na Vitengo vilivyopo kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa umma Nchini Ghana.(Picha zote naScolaMalinga-Wizara ya fedha, Tanzania).