Tuesday, 18 June 2013

BENKI YA NMB YA ZINDUA CHAP CHAP AKAUNTI KWAAJILI YA WATANZANIA WASIO NA AKAUNTI

IMG_1473 (2)
Ofisa mtendaji mkuu wa benki ya NMB Mark Wiessing akimshukuru mheshimiwa waziri wa fedha Dk William Mgimwa mara baada ya kuzindua akaunti ya NMB Chap chap .

Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania. Katika kulizingatia hili mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilizindua akaunti ya Chap Chap ambayo kusudi kubwa ni
kuwafikia wananchi wote kule waliko na kuwafungulia akaunti zao.Kikubwa zaidi ni kwamba mteja ataweza kufungua akaunti papo hapo na kupata kadi yake ya kutolea fedha  ndani ya dakika  kumi

  • Mambo muhimuzaidiambayomtejawa Chap Chapanawezakufaidikanayonipamojana:
  • Kuonasalio la akauntiyakopopoteulipo
  • Kuwekafedhanakutoafedhakwamawakalawa M- pesa
  • KutumafedhakwawasionaakauntimahalipopotenchinikwakutumiahudumayaPesaFasta
  • Kununuavochazamudawamaongezikutokakwenyemtandaowowotewasimu
  • Kuchukuafedhahadishillingi 1.000,000/= kutoka kwenye ATM

NMB MgimwaMheshimiwa waziri wa fedha Dk William Mgimwa akichukuliwa alama za vidole na Ofisa mauzo ya Nje NMB Abdul Kandoro mara baada ya uzinduzi rasmi wa NMB chap chap akaunti mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma
IMG_1469
Sehemu ya maofisa na wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...