Friday, 7 June 2013

KENYATTA AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI KENYA

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameongoza kikao cha kwanza cha baraza lake jipya la Mawaziri na kuwataka mawaziri hao kufanya kazi zao ipasavyo na kutimiza ahadi za serikali ilizoahidi wakati wa kampeni zake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...