| Makada wa CCM mkoa wa Ruvuma wakiongozwa na kada namba moja mzee Songambele (kushoto)wakimsubiri Kinana kwa ajili ya mapokezi leo katika ofisi za CCM mkoa wa Ruvuma |
| kada wa CCM mzee Songambele (kushoto) akisalimiana na katibu mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana leo nje ya ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma |
| Burudani mbali mbali zikiendelea nje ya ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma |
| waziri wa mambo ya ndani ya nchi na mbunge wa jimbo la Songea mjini Dr Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiwa na katibu mkuu wa CCM ndugu Kinana leo uwanja wa maji maji |
| Vijana wa burudani wakionyesha ujuzi wao mbele ya Kinana baada ya kupokelewa mkoani Ruvuma leo |
| Mwanahabari wa kituo bora cha Runinga nchini Tanzania Clouds TV akiwa ndani ya Songea leo baada ya Kinana kutua Songea |
No comments:
Post a Comment