Pages
HOME
CCM MOROGORO
MOROGORO KUSINI
UTEKELEZAJI WA ILANI
WASILIANA NASI
PICHA
Saturday, 1 June 2013
MABALOZI 449 WA NYUMBA 10 WAKUTANA NA KINANA NJOMBE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana na wakazi wa Njombe nje ya ofisi za CCM wilaya.
Wenyeviti wa Zamani wa CCM wilaya ya Njombe wakifurahia salaam za KatibuMkuu alipowasili kwenye Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na wakazi wa Wilaya ya Njombe waliofika kumpokea nje ya Makao Makuu ya CCM wilaya.
Katibu Mkuu wa CCM akiwasili kwenye ukumbi wa mkutano wa UWT Hall,mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono mabalozi wa nyumba 10 .
P
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment