INNOCENT KALOGERIS

Pages

  • HOME
  • CCM MOROGORO
  • MOROGORO KUSINI
  • UTEKELEZAJI WA ILANI
  • WASILIANA NASI
  • PICHA

Tuesday, 18 June 2013

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

DSC_0674Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Suza kilichokuwepo Tunguu wakiwa katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia maswali na majibu pamoja na mijadala mbalimbali inayoendelea katika Baraza hilo lililokuwepo Mbweni nje ya Mji wa ZanzibarDSC_0676Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd akijibu Maswali mbalimbali alioulizwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi lililokuwepo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
DSC_0677Muwakilishi wa Jimbo la Mkwajuni Mbarouk Wadi Mussa kulia akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Baraza kupitia nafasi za Wanawake Mgeni Hassan Juma wakipitia karatasi mbalimbali za maswali na majibu katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  lililokuwepo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.DSC_0681Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakari akionyesha karatasi ya Warka wa Kiwanja alipokuwa akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
Posted by Anonymous at 16:59
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Dr Jakaya Kikwete

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mh Abdurahman Kinana

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini Mwenyekiti wa Chama cha Map

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini Mwenyekiti wa Chama cha Map
Mh Innocent Kalogeris

KAULI MBIU YA CCM

UMOJA NI USHINDI

BLOG MARAFIKI

  • MICHUZI
    MNZAVA AWASIHI MADIWANI NA WENYEVITI WA VIJIJI KUSHIRIKIANA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
    8 hours ago
  • CCM Blog
    RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI, MKUU WA MAJESHI IKULU NDOGO ZANZIBAR
    8 hours ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K
    2 years ago
  • JUMA MTANDA
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA !
    7 years ago
  • AUDIFACE JACKSON - OFFICIAL BLOG
    7 years ago

Wikipedia

Search results


widgeo.net

Blog Archive

Flag Counter
  • Jason
  • KALOGERIS
AJ IT DEVELOPMENT .CO.LTD. Powered by Blogger.