Mh. Beatrice Shelukindo akipokea kipeperusha kinachoelezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya CRDB kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Benki hiyo wakati wa maonyesho ya taasisi za Fedha yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mh. Felix Mkosamali akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la Benki ya CRDB.
Mh. David Kafulila akipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi akihoji jambo kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mh.William Lukuvi (Mb) akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mh. Fatuma Mikidadi akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakati maonyesho ya taasisi za fedha yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.






No comments:
Post a Comment