
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi katika Ufunguzi wa kituo cha mradi wa uimarishaji miundombinu ya usambazaji wa Umeme kilichojengwa kwa msaada wa JICA hapo mtoni Mjini Zanzibar

Ras wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein kushoto akiwa pamoja na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Masaki Okada wakifungua kituo cha mradi wa uimarishaji miundombinu ya usambazaji wa Umeme kilichojengwa kwa msaada wa JICA hapo mtoni Mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment